Ufafanuzi wa chana katika Kiswahili

chana

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    pasua, agh. nguo, karatasi au miyaa.

    boshoa, nyanyua, rarua, pasua

  • 2

    tengeneza vizuri nywele kwa kutumia kitana.

Asili

Kaj

Matamshi

chana

/t∫ana/