Ufafanuzi wa chandalia katika Kiswahili

chandalia

nominoPlural chandalia

  • 1

    fremu kubwa ya duara yenye matawi ya kushikilia fungu la mishumaa au balbu za taa za mapambo na vipande vidogo vya vioo, yenye kuning’inia kutoka darini.

Asili

Kng

Matamshi

chandalia

/t∫andalija/