Ufafanuzi wa chang’aa katika Kiswahili

chang’aa

nominoPlural chang’aa

  • 1

    aina ya ulevi mkali sana kama brandi.

    gongo, moshi, piwa

Matamshi

chang’aa

/t∫aŋa:/