Ufafanuzi wa changamko katika Kiswahili

changamko

nominoPlural machangamko

  • 1

    hali ya kuchangamka.

    furaha, bashasha, ukunjufu

Matamshi

changamko

/t∫angamkɔ/