changamsho1
nominoPlural machangamsho
- 1
kitu au fikira inayotolewa kwa mtu au watu ili iwahamasishe kufanya jambo fulani.
‘Kuanzishwa kwa sekondari ya jioni ni changamsho kwa wasio na elimu ya sekondari kujiendeleza’
changamsho2
nominoPlural machangamsho
- 1
kitu au jambo linalochangamsha.