Ufafanuzi wa changanya katika Kiswahili

changanya

kitenzi elekezi

 • 1

  weka pamoja vitu tofauti.

  ‘Changanya maziwa na maji’
  biganya, huluti, konganya

 • 2

  vuruga mambo au fikira za mtu.

  ‘Changanya mawazo’
  babaisha