Ufafanuzi wa changia katika Kiswahili

changia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    toa mchango kwa ajili ya jambo fulani.

  • 2

    ongezea ubaya au uzuri katika kitu kingine.

    ‘Mahudhurio mabaya yamechangia kufeli kwake mtihani’

Matamshi

changia

/t∫angija/