Ufafanuzi wa changizo katika Kiswahili

changizo

nominoPlural changizo

  • 1

    michango ya pesa.

  • 2

    ada ya uanachama wa shirika lolote.

Matamshi

changizo

/t∫angizɔ/