Ufafanuzi wa changuka katika Kiswahili

changuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    vurugika k.v. vitu vilivyokuwa vimefungwa pamoja au vilivyokuwa vimepangwa vizuri.

Matamshi

changuka

/t∫anguka/