Ufafanuzi msingi wa chanja katika Kiswahili

: chanja1chanja2chanja3chanja4

chanja1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  pasua vipande vidogovidogo, agh. kuni.

 • 2

  changa, pasua, tema

Matamshi

chanja

/t∫anʄa/

Ufafanuzi msingi wa chanja katika Kiswahili

: chanja1chanja2chanja3chanja4

chanja2

nominoPlural chanja

 • 1

  mahali pa juu k.v. dari, ambapo vitu huwekwa.

 • 2

  mahali pa juu pa kuwekea vitu, agh. chakula.

  ulio

Matamshi

chanja

/t∫anʄa/

Ufafanuzi msingi wa chanja katika Kiswahili

: chanja1chanja2chanja3chanja4

chanja3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  kata chale ili kutia dawa ya kuzuia maradhi fulani.

  toja

Matamshi

chanja

/tʃanʄa/

Ufafanuzi msingi wa chanja katika Kiswahili

: chanja1chanja2chanja3chanja4

chanja4

nominoPlural chanja

Matamshi

chanja

/t∫anʄa/