Ufafanuzi wa chanjiana katika Kiswahili

chanjiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    katana chale kwa ajili ya kufanya udugu.

Matamshi

chanjiana

/t∫anʄijana/