Ufafanuzi wa chanya katika Kiswahili

chanya

kivumishi

  • 1

    -siokuwa hasi.

  • 2

    -enye kuleta matumaini.

Matamshi

chanya

/t∫aɲa/