Ufafanuzi msingi wa chanyata katika Kiswahili

: chanyata1chanyata2

chanyata1

kitenzi elekezi

  • 1

    kata vipandevipande muhogo, ndizi, n.k..

Matamshi

chanyata

/t∫aɲata/

Ufafanuzi msingi wa chanyata katika Kiswahili

: chanyata1chanyata2

chanyata2

kitenzi elekezi

  • 1

    fua nguo ili kuondoa taka za juu tu bila ya kukusudia kuzitakasa.

    chachaga

Matamshi

chanyata

/t∫aɲata/