Ufafanuzi wa chapasi katika Kiswahili

chapasi

kivumishi

  • 1

    -enye kuingiliana na wengine kwa urahisi.

    -changamfu

Matamshi

chapasi

/t∫apasi/