Ufafanuzi wa chapuchapu katika Kiswahili

chapuchapu

kielezi

  • 1

    kwa haraka; kwa upesiupesi.

    ‘Fanya kazi chapuchapu’
    mbiombio, dalihini, haraka, marshi, hima, upesi, arubii

Matamshi

chapuchapu

/t∫aput∫apu/