Ufafanuzi wa chapuka katika Kiswahili

chapuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kaa kando ya njia.

    pisha

  • 2

    fanya bidii au haraka.

Matamshi

chapuka

/t∫apuka/