Ufafanuzi wa chapuo katika Kiswahili

chapuo

nominoPlural chapuo

  • 1

    ngoma ndogo iliyowambwa pande zote mbili.

Matamshi

chapuo

/t∫apuwɔ/