Ufafanuzi wa chapwa katika Kiswahili

chapwa

kivumishi

  • 1

    -siyo na ladha; -liokosa viungo; -siokuwa tamu.

  • 2

    -a majimaji.

Matamshi

chapwa

/t∫apwa/