Ufafanuzi wa chapwisha katika Kiswahili

chapwisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa chapwa, ondosha ladha ya kitu.

    zimua

Matamshi

chapwisha

/t∫apwi∫a/