Ufafanuzi wa charo katika Kiswahili

charo

nominoPlural vyaro

  • 1

    kikundi cha wasafiri.

    msafara, kafila

Asili

Khi

Matamshi

charo

/t∫arɔ/