Ufafanuzi wa charua katika Kiswahili

charua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    shikilia neno ili kumkasirisha mtu mwingine.

    chokoza, chagiza

  • 2

    onea, huzunisha

Matamshi

charua

/t∫aruwa/