Ufafanuzi wa charuka katika Kiswahili

charuka

kitenzi elekezi

  • 1

    rudia tabia au hali.

    ‘Wazimu umemcharuka’
    chaga, chacha, chachawa

  • 2

    fanya machachari; fanya utundu.

Matamshi

charuka

/tâˆĞaruka/