Ufafanuzi wa chauro katika Kiswahili

chauro

nominoPlural chauro

  • 1

    kaukau zilizokaangwa kwa kuchanganywa na dengu na karanga.

Matamshi

chauro

/t∫awurɔ/