Ufafanuzi wa chazi katika Kiswahili

chazi

nomino

  • 1

    mmea unaotambaa wenye majani mapana unaooteshwa katika nyumba kama pambo.

Matamshi

chazi

/t∫azi/