Ufafanuzi wa checha katika Kiswahili

checha

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    kata vipande vyembamba k.v. muhogo.

    lenga

Matamshi

checha

/t∫ɛt∫a/