Ufafanuzi wa chechemea katika Kiswahili

chechemea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

  • 1

    enda kwa kukokota mguu, agh. mmoja ulioumia.

  • 2

    chechea, demadema, dengua, pecha

Matamshi

chechemea

/t∫ɛt∫ɛmɛja/