Ufafanuzi wa cheka katika Kiswahili

cheka

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa sauti ya furaha au ya dharau kwa kufunua kinywa mpaka meno yakaonekana.

    dhihaki

Matamshi

cheka

/t∫ɛka/