Ufafanuzi wa chekacheka katika Kiswahili

chekacheka

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~esha, ~wa

  • 1

    cheka mara kwa mara.

    kenuakenua

Matamshi

chekacheka

/t∫ɛkat∫ɛka/