Ufafanuzi wa chekea katika Kiswahili

chekea, chokea

nomino

  • 1

    kipele kinachotokeza kwenye ngozi ya juu ya jicho.

    sekenene