Ufafanuzi wa chekeche katika Kiswahili

chekeche, chekecheke, chekecheo

nomino

  • 1

    chombo cha mbao na mianzi au cha chuma chenye matundumatundu cha kutengea unga na chenga.

    chungio