Ufafanuzi wa chekesha katika Kiswahili

chekesha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya kwa makusudi mtu au watu wacheke.

  • 2

    kuwa katika hali ambayo itamfanya mtu acheke.

Matamshi

chekesha

/t∫ɛkɛ∫a/