Ufafanuzi msingi wa cheki katika Kiswahili

: cheki1cheki2

cheki1

kitenzi elekezi

  • 1

    tazama kwa madhumuni ya kusahihisha au kusadikisha.

    kagua

Asili

Kng

Matamshi

cheki

/t∫ɛki/

Ufafanuzi msingi wa cheki katika Kiswahili

: cheki1cheki2

cheki2

nomino

Asili

Kng