Ufafanuzi wa chelea katika Kiswahili

chelea

kitenzi sielekezi~lesha

  • 1

    acha kufanya jambo kwa kuhofia matokeo mabaya.

    ogopa, hofu

Matamshi

chelea

/t∫ɛlɛja/