Ufafanuzi msingi wa chelewa katika Kiswahili

: chelewa1chelewa2chelewa3chelewa4

chelewa1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~eza

 • 1

  kuwa nyuma ya wakati mahususi uliowekwa.

  kawia, limatia, faitika, taahari, ahiri, ahirika, tuili

Matamshi

chelewa

/t∫ɛlɛwa/

Ufafanuzi msingi wa chelewa katika Kiswahili

: chelewa1chelewa2chelewa3chelewa4

chelewa2

nominoPlural chelewa

 • 1

  hali inayompata mtu siku ya pili asubuhi baada ya kulewa sana usiku.

Matamshi

chelewa

/t∫ɛlɛwa/

Ufafanuzi msingi wa chelewa katika Kiswahili

: chelewa1chelewa2chelewa3chelewa4

chelewa3

nominoPlural chelewa

 • 1

  manyanga yanayotengenezwa kwa kutia vijiwe au mbegu kavu katika kibuyu au kopo na hutumiwa kwenye ngoma maalumu.

Matamshi

chelewa

/t∫ɛlɛwa/

Ufafanuzi msingi wa chelewa katika Kiswahili

: chelewa1chelewa2chelewa3chelewa4

chelewa4

nominoPlural chelewa

Matamshi

chelewa

/t∫ɛlɛwa/