Ufafanuzi wa chemba katika Kiswahili

chemba

nomino

  • 1

    ‘Twendechemba’

  • 2

    chumba cha faragha.

  • 3

    uwazi ndani ya mwili au mmea k.v. chemba ya moyo, chemba ya pua, chemba ya kinywa/mdomo.

Matamshi

chemba

/t∫ɛmba/