Ufafanuzi wa chembekike katika Kiswahili

chembekike

nomino

  • 1

    yai la kiumbehai ambalo likiungana na mbegu ya kiume husababisha mimba.

Matamshi

chembekike

/t∫ɛmbɛkikɛ/