Ufafanuzi msingi wa chembeu katika Kiswahili

: chembeu1chembeu2

chembeu1

nominoPlural chembeu

  • 1

    patasi butu inayotumika kwa kukalafatia.

  • 2

    kisu maalumu cha kuchokolea mbata.

Matamshi

chembeu

/t∫ɛmbɛwu/

Ufafanuzi msingi wa chembeu katika Kiswahili

: chembeu1chembeu2

chembeu2

nominoPlural chembeu

  • 1

    aina ya samaki.

Matamshi

chembeu

/t∫ɛmbɛwu/