Ufafanuzi wa chemni katika Kiswahili

chemni

nominoPlural chemni

  • 1

    kioo chenye umbo kama yai kilichowazi juu na chini na kinachotiwa kwenye taa ya kandili ili kuzuia upepo usiizime.

    tungi

Asili

Kng

Matamshi

chemni

/t∫ɛmni/