Ufafanuzi wa chenene katika Kiswahili

chenene

nominoPlural chenene

  • 1

    mdudu wa jamii ya panzi ambaye hupiga kelele usiku na huishi ardhini.

    nyenje

Matamshi

chenene

/t∫ɛnɛnɛ/