Ufafanuzi wa cheneo katika Kiswahili

cheneo

nomino

  • 1

    kitu kilichoenea; kilichotapakaa.

Matamshi

cheneo

/t∫ɛnɛɔ/