nominoPlural chenga
- 1
samaki mwenye umbo la mviringo, kichwa bapa, mwiba mgongoni, rangi nyeupe tumboni na ya maziwa mgongoni.
Matamshi
chenga
/t∫ɛnga/kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa, ~ana
- 1
kata kitu vipandevipande.
- 2
katakata miti kwa ajili ya kupikia au kujengea, n.k..
fyua
Matamshi
chenga
/t∫ɛnga/kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa, ~ana
- 1
hepa mpinzani, agh. katika mchezo wa mpira, ili kupata nafasi ya kupita.
- 2danganya
Matamshi
chenga
/t∫ɛnga/nominoPlural chenga
- 1
tendo la kumwepuka mtu kwa ujanja.
Matamshi
chenga
/t∫ɛnga/nominoPlural chenga
- 1
punje ndogondogo za kitu, agh. za mchele uliokatikakatika.