Ufafanuzi wa chenge katika Kiswahili

chenge

nominoPlural chenge

  • 1

    msitu uliofyekwa na kuchomwa moto.

  • 2

    moto mkubwa katika shamba.

Matamshi

chenge

/t∫ɛngɛ/