Ufafanuzi wa chengua katika Kiswahili

chengua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lisha, ~liwa

  • 1

    furahisha watu kwa kuwafanya wacheke na kujisikia.

Matamshi

chengua

/t∫ɛnguwa/