Ufafanuzi msingi wa chenji katika Kiswahili

: chenji1chenji2

chenji1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    vunja kiwango kikubwa cha fedha k.m. noti ya shilingi 1,000 ili kupata viwango vidogo zaidi k.v. noti za shilingi 500, 200, 50, au sarafu ya shilingi 20.

Asili

Kng

Matamshi

chenji

/t∫ɛnʄi/

Ufafanuzi msingi wa chenji katika Kiswahili

: chenji1chenji2

chenji2

nominoPlural chenji

  • 1

    fedha zilizovunjwa katika viwango vidogovidogo.

  • 2

    baki ya fedha baada ya kununua kitu.

Asili

Kng

Matamshi

chenji

/t∫ɛnʄi/