Ufafanuzi wa chepua katika Kiswahili

chepua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~sha, ~iwa

  • 1

    badili mwelekeo katika jambo au fikira fulani.

  • 2

    pata utaalamu.

    bobea

Matamshi

chepua

/t∫ɛpuwa/