Ufafanuzi wa cherehani katika Kiswahili

cherehani

nominoPlural vyerehani

  • 1

    mashine ya kushonea k.v. nguo au viatu.

Asili

Kaj

Matamshi

cherehani

/t∫ɛrɛhani/