Ufafanuzi wa chereko katika Kiswahili

chereko

nominoPlural chereko

  • 1

    furaha kubwa baada ya kushinda au kufanikiwa kupata kitu au kutimiza jambo fulani.

Matamshi

chereko

/t∫ɛrɛkɔ/