Ufafanuzi wa chete katika Kiswahili

chete

nominoPlural vyete

  • 1

    siku maalumu katika juma inayofanywa soko.

  • 2

    mahali penye soko.

    gulio

Matamshi

chete

/t∫ɛtɛ/