Ufafanuzi wa chetezo katika Kiswahili

chetezo

nominoPlural vyetezo

  • 1

    chombo kilichotengenezwa kwa udongo au bati ambacho hutumiwa kufukizia udi, ubani, n.k..

    kifukizo

Matamshi

chetezo

/t∫ɛtɛzɔ/