Ufafanuzi msingi wa cheu katika Kiswahili

: cheu1cheu2

cheu1

nominoPlural cheu

  • 1

    mtu anayetafunatafuna.

Matamshi

cheu

/t∫ɛwu/

Ufafanuzi msingi wa cheu katika Kiswahili

: cheu1cheu2

cheu2

kivumishi

  • 1

    -a kutafunatafuna.

Matamshi

cheu

/t∫ɛwu/